Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Xhosa ndungu Mtebetini Ni Kama Kisandawe Na waIraqwi wanaoishi Mikowa ya Dodoma Na singida Tena maumbile Na rangi zao zinafanana kiasi
Kiasi ulichoeleza kina ukweli marehemu mdogo wangu "Mwenyezi Mungu amalaze mahali pema peponi" alikuwa anaishi Afrika kusini na alipata uraia kwa kudai yeye ni wa huko na walimkubalia
 
Kiasi ulichoeleza kina ukweli marehemu mdogo wangu "Mwenyezi Mungu amalaze mahali pema peponi" alikuwa anaishi Afrika kusini na alipata uraia kwa kudai yeye ni wa huko na walimkubalia

Walimkubalia Kwa Sababu alikubalika Mwenye Mungu amuweke mahali pema peponi Amen.
Nakushukuru ndungu Mtebetini kwa muungo wa sanamu ya Bismini Na historia ya Tanganyika .Duh nimefarijika
 
Walimkubalia Kwa Sababu alikubalika Mwenye Mungu amuweke mahali pema peponi Amen.
Nakushukuru ndungu Mtebetini kwa muungo wa sanamu ya Bismini Na historia ya Tanganyika .Duh nimefarijika
Nimefarajika zaidi kwa uungwana wako ahsante mchango wako humu JF unathamani
 
Kupayuka payuka tuuuuuu.. Kama vile umetokwa na akili. Ongea taratibu utaeleweka
 
Kiwango cha wanaume rijali kama mimi kimepungua sana sababu ya kuku matahira na machips. Ila mazoezi ndio dawa ya hayo yote.
 
Back
Top Bottom