mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Mnene ilikuwa ujanani tulitumia neno hili kama kuonyesha uwezo wa matumizi au matanuziAfya sio kuwa mnene
Mnene ilikuwa ujanani tulitumia neno hili kama kuonyesha uwezo wa matumizi au matanuziAfya sio kuwa mnene
Matanuzi huko bungeni ni batili kwa maadili ya utawala bora.....Mnene ilikuwa ujanani tulitumia neno hili kama kuonyesha uwezo wa matumizi au matanuzi
Matanuzi huko bungeni ni batili kwa maadili ya utawala bora.....
Chai ni zao lenye kutumika takriban kote duniani...Bora uji kuliko chai
Chai ni zao lenye kutumika takriban kote duniani...
Mengi R. ni mmoja wa wafanaya biashara mwenye kujitolea mali kuwajali masikini.....Duniani kuna mengi
Masikini mtaji wake ni nguvu zake mwenyeweMengi R. ni mmoja wa wafanaya biashara mwenye kujitolea mali kuwajali masikini.....
Mwenyewe atabeba jukumu la kuwatunza wanae baada ya talaka....Masikini mtaji wake ni nguvu zake mwenyewe
Mshindi wa leo ni VD !! wewe ila tuoneshe umahiri wako tukukabidhi ubingwa !!Siku zinaenda hii post haijapata mshindi
Ubingwa!!!!? You must be jokingMshindi wa leo ni VD !! wewe ila tuoneshe umahiri wako tukukabidhi ubingwa !!
Joking yangu ni kutoa tuzo la heshima kwa yule mbunifu.....Ubingwa!!!!? You must be joking
Mbunifu tuzo haikubaliki apewe bila maafikianoJoking yangu ni kutoa tuzo la heshima kwa yule mbunifu.....
Maafikiano ni hivi, kwanza analipa advansi 50% halafu siye tunampa tenda !!!!Mbunifu tuzo haikubaliki apewe bila maafikiano
CRDB ni benk ambayo ina wateja wengi, ila tatizo lao lipo ktk huduma za matawi ya vijijini..Tenda gani, wakati jamaa anadaiwa na CRDB
Vijijini wapo makini sana katika kuhifadhi akiba walizonazoCRDB ni benk ambayo ina wateja wengi, ila tatizo lao lipo ktk huduma za matawi ya vijijini..
Vijijini kuna maisha magumu sana wacha tujazane DarisalamaCRDB ni benk ambayo ina wateja wengi, ila tatizo lao lipo ktk huduma za matawi ya vijijini..
Walizo nazo zitawastiri wakati wa shida, ndiyo maana zimehifadhiwa...Vijijini wapo makini sana katika kuhifadhi akiba walizonazo
Dar-es-Salaama ni jina moja la peponi lenye uwezo wakupokea wakazi bilioni tisa bila kugota.!!Vijijini kuna maisha magumu sana wacha tujazane Darisalama