Wa mwisho ndiyo mshindi

Matangazo ya vifo baada ya Taarifa ya Habari RTD ndio ilikuwa njia nyepesi ya kufikisha habari za msiba miaka wa Mwalimu. Simu hakuna, Barua zinachukua miezi. Nchi hii imetoka mbali.
Mbali mbali !! ilikuwa karibu ila sera za ubabaishaji na mfumo wa "usijue zaidi yangu" ndiyo umetesa raia wa TANZANIA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…