Wa mwisho ndiyo mshindi

Leo ukidunda Na range lazima utaulizwa kazi yako
Yako mambo ntajibu, na yapo mambo sintojibu ! Kwa kuwa hapa nchini TZ mtu ukiwa na simu 2 tu unapakiziwa fisadi au ukivaa maidadi unashyumiwa Dw/za kulevya !! lakini ukivaa kaniki Ohh amewehuka/kichaa huyo!! ilimradi taifa hili ni la majanga na balaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…