Hiyo itatokana na mapendekezo ya kamati husikaVumilia Mwasha moja kati ya watangazaji ya ITV, kituo Ambazo kimedumu zaidi ya miaka 22. Lakini bado kinategemewa zaidi kwa habari za ndani Na nje ya nchi. Je Ndugu Mengi apewe tuzo ya heshima kwa kuweza kufanya chombo kuwa Imara namna hiyo?
Yanakondesha kwa minajili ya misongo isiyotatulika.....mawazo mengi yanakondesha
Husika kichwa cha huu Uzi kinavyosema, wa mwisho ndio mshindi ina maana wanasubiri hadi vituo vyote vife ndio waone Kazi yake, CTN, CEN DTV etc vyote vilianza nae lakini havipo.Hiyo itatokana na mapendekezo ya kamati husika
Isiyotatulika migogiro ya wakulima na wafugaji. Je unafikiri nguvu ya dola au diplomasia itumike kwenye kutatua hiyo migogoro??Yanakondesha kwa minajili ya misongo isiyotatulika.....
Migogoro kama hiyo inahitaji kutatuliwa kwa umakiniIsiyotatulika migogiro ya wakulima na wafugaji. Je unafikiri nguvu ya dola au diplomasia itumike kwenye kutatua hiyo migogoro??
Umakini unahitajika katika kukabiliana Na janga uhaba wa sukariMigogoro kama hiyo inahitaji kutatuliwa kwa umakini
Janga la sukari karibu litaisha.Umakini unahitajika katika kukabiliana Na janga uhaba wa sukari
Chawa kwenye koti siku ya harusiKidole kimoja hakiui chawa
Chawa kwenye koti siku ya harusi
Matanga tulikwisha maliza siku nyingi tunangojea ArobainiHarusi kukopa kulipa matanga
Arobaini ni siku za mwizi, usiombe zikatimia.Matanga tulikwisha maliza siku nyingi tunangojea Arobaini
Zikatimia ataona cha mtemakuniArobaini ni siku za mwizi, usiombe zikatimia.
Mtemakuni Ni neno nililokutananalo shule ya msingi miaka takribani 25 iliyopita, lakini sijui maana yake hadi leo!.Zikatimia ataona cha mtemakuni
Leo nitakufundisha maana yake "yule mkataji kuni kawaida yake kuingini msituni na kukata kuti kwa shoka/panga lake lakini siku hiyo baada ya kuingia msituni alijikuta kasahau shoka lake" ndiyo yaliyomkuta !!Mtemakuni Ni neno nililokutananalo shule ya msingi miaka takribani 25 iliyopita, lakini sijui maana yake hadi leo!.
Yaliyomkuta yanachekesha lakini upande mwingine namuonea huruma, nashukuru kwa ufafanuzi.Leo nitakufundisha maana yake "yule mkataji kuni kawaida yake kuingini msituni na kukata kuti kwa shoka/panga lake lakini siku hiyo baada ya kuingia msituni alijikuta kasahau shoka lake" ndiyo yaliyomkuta !!
Ufafanuzi wa mwalimu wangu nauzingatia ktk kuelimishana na wenzangu....Yaliyomkuta yanachekesha lakini upande mwingine namuonea huruma, nashukuru kwa ufafanuzi.
Wenzangu mna juhudi nikitoka dakika chache nakuta mko mbaliUfafanuzi wa mwalimu wangu nauzingatia ktk kuelimishana na wenzangu....
Mbali ya hayo tunafaidi msamiati kutoka pembezoni......Wenzangu mna juhudi nikitoka dakika chache nakuta mko mbali