saiditawani
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 369
- 252
nikanunue zangu hisa kwani muda umeenda
Umeenda shule ili kufuta ujinga au kuelimika?
nikanunue zangu hisa kwani muda umeenda
kuelimika si lazima shule kwani mtaani kwatoshaUmeenda shule ili kufuta ujinga au kuelimika?
Mtaani kwatosha utapata sehemu ya elimu darasani utapata ziadakuelimika si lazima shule kwani mtaani kwatosha
Mwisho hauzingatiwi hasa na mwanajamvi RutaZiada zingatia neno la mwisho ndilo unaanza nalo mpaka mwisho

Ruta ni kiongozi mahiri humu JF.Mwisho hauzingatiwi hasa na mwanajamvi Ruta
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
JF ni moja ya chuo kikuu bila kuwa na urasimu wa ugwandu...unaingia humu mbumbumbu unatoka na fikra pevu !!!Ruta ni kiongozi mahiri humu JF.
Maarifa mengi hufasidi akili... ila kila bongo lina yake maarifa !!!JF ni chimbo la maarifa
Maarifa hayapatikani kwa muda mfupi inachukuwa muda mrefu kuyapataMaarifa mengi hufasidi akili... ila kila bongo lina yake maarifa !!!
Kuyapata ya uhakika kweli kunahitaji muda maalum, kwa kuwa waTZ hatunaga uvumilivu huo chochote tutakikumbatia....Maarifa hayapatikani kwa muda mfupi inachukuwa muda mrefu kuyapata
Tutakikumbatia kinachokuja mbele yetu bila kutafitiKuyapata ya uhakika kweli kunahitaji muda maalum, kwa kuwa waTZ hatunaga uvumilivu huo chochote tutakikumbatia....
Kutafiti hatufanyi muda mwingi tunautumia kwenye starehe leo naona ukumbi ulikuwa kimya muda mrefu kwa kuwa ni weekend nami naenda kupumzika sasa ni saa 03:30 am Mungu atulinde tuamke salama shukuranTutakikumbatia kinachokuja mbele yetu bila kutafiti
Shukurani na leo Mungu kanipa pumzi mara nyingine
Taifa linahitaji uhuru WA habariBungen wanaficha kitu Gan wakati wanachojadili ni kwa masrahi ya taifaa???
Habari hii ya vyombo vya habari kunyimwa kurusha mtangazo yake kwa uhuru nalo ni jipuTaifa linahitaji uhuru WA habari
Jipu limeiva haswaa, nashangaa kwa nini linafumbiwa machoHabari hii ya vyombo vya habari kunyimwa kurusha mtangazo yake kwa uhuru nalo ni jipu