Turnoff
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 764
- 913
maji chumvi kuna samaki weng ila hakuna chenga kuna changuchenga ni aina ya samaki wa maji ya chumvi
maji chumvi kuna samaki weng ila hakuna chenga kuna changuchenga ni aina ya samaki wa maji ya chumvi
ni tofauti kwa ladha chumv huwezi kuonja kila saa lakin sukar ni tamuChumvi na Sukari ni vitu viwili vyenye kufanana japo ni tofauti......
tamu yake naipenda sana kwa kweli hasa akiwa amelala kifo cha mendeni tofauti kwa ladha chumv huwezi kuonja kila saa lakin sukar ni tamu
Changu ni samaki mtaamu, sasa ndg. Mainus amekula chenga chenga chenga....maji chumvi kuna samaki weng ila hakuna chenga kuna changu
Nyie ndo wenye kazi, karibu tuConnect dots !!!Mmekosa kazi nyie
Yake ilikuwa radio FM.. wapi ataipata....?chenga chenga kama televishen yake!
"kazi nyie kazi nyie'(na wewe karibuMmekosa kazi nyie
ataipata juu ya mlima meruYake ilikuwa radio FM.. wapi ataipata....?
Meru ni mlima pekee au kuna kabila, eneo laitwa meru ?ataipata juu ya mlima meru
meru wanaishi kabila la wameruMeru ni mlima pekee au kuna kabila, eneo laitwa meru ?
Wameru wamebahatika kupata hali ya hewa ya baridi...meru wanaishi kabila la wameru
Baridi ni hali ya hewa ambayo ni kawaida kwa mkoa wa ArushaWameru wamebahatika kupata hali ya hewa ya baridi...
hewa ya baridi ni kwa mkoa wa arusha yoteWameru wamebahatika kupata hali ya hewa ya baridi...
Arusha ni jiji linalofana na mji wa Geneva huko Swiss....Baridi ni hali ya hewa ambayo ni kawaida kwa mkoa wa Arusha
Swiss wana mji mwingine wa Zurich ni kama MwanzaArusha ni jiji linalofana na mji wa Geneva huko Swiss....
Mwanza ya zambia au Congo ?Swiss wana mji mwingine wa Zurich ni kama Mwanza
congo nako kuna vita visivyo ishaMwanza ya zambia au Congo ?