Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nyumba hiyo nilikusihi uhame siku nyingi hukunisikia....Zimenishinda chokochoko za mama mwenye nyumba.
Nyumba hiyo nilikusihi uhame siku nyingi hukunisikia....Zimenishinda chokochoko za mama mwenye nyumba.
Hizi mvua zimechanganyaWapi unaishi siku hizi?
Nyumba hii ni tulivu sanaZimenishinda chokochoko za mama mwenye nyumba.
Zimechanganya mwenendo wa kuchakachua mafuta bandarini....Hizi mvua zimechanganya
Nilikufukuza ulipovunja mlango na kuniingilia....Hukusikia ndio maana nilikufukuza
Kuniingilia kwenye nyumba bila ridhaa ni uvunjanji wa sheriaZimechanganya mwenendo wa kuchakachua mafuta bandarini....
Nilikufukuza ulipovunja mlango na kuniingilia....
Sheria ina mruhusu mwenye nyumba akutimue baada ya mwisho wa mkataba...Kuniingilia kwenye nyumba bila ridhaa ni uvunjanji wa sheria
Mkataba wa Lugumi haueleweki...Sheria ina mruhusu mwenye nyumba akutimue baada ya mwisho wa mkataba...
Haueleweki kwa kuwa mizizi yake imeingiliana na mizizi ya vigogo na imetambaa hadi ikulu...Mkataba wa Lugumi haueleweki...
Haueleweki kwa kuwa mizizi yake imeingiliana na mizizi ya vigogo na imetambaa hadi ikulu...
Ikulu ya siku hizi si kama ya zamaniHaueleweki kwa kuwa mizizi yake imeingiliana na mizizi ya vigogo na imetambaa hadi ikulu...
Zamani watu walikua hawajui mambo sio kama sasaIkulu ya siku hizi si kama ya zamani
Sasa kweli wanaisoma nambaZamani watu walikua hawajui mambo sio kama sasa
Namba moja inafahamika kwa ubora wakeSasa kweli wanaisoma namba
Namba nane ndio saizi yakoSasa kweli wanaisoma namba
Yako ya mileleNamba nane ndio saizi yako
Wake tafuta wako na weweNamba moja inafahamika kwa ubora wake
Wewe leo unalala saa ngapi?Wake tafuta wako na wewe