Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Anakutumbua kuna kila Dalili wanajamvi mpo hoi nami ngoja nifunge virago maana Tanesco washafanza manyago yao wametuzimia umeme hivi sasa ni saa 03:30 usiku nawatakia njonzi njema mlale salama

Salama salmin maana mie ndio kwanzaaaa naingia mitaani kusukuma gurudumu la maisha.
Misheni town naona Kama wanapotea kiana.
 
Back
Top Bottom