Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mustakabali wa maisha ufanikiwe
Ufanikiwe na wewe ..AMINa usisahau karamu yetu...Mustakabali wa maisha ufanikiwe
Pamoja tutajumuikakesho siwez pata picha ya pamoja
Yetu maisha kwa raha na karahaUfanikiwe na wewe ..AMINa usisahau karamu yetu...
Karaha hutoipata kamwe wee mshike ZZYetu maisha kwa raha na karaha
ZZ mwenyewe kafuliaKaraha hutoipata kamwe wee mshike ZZ
tutajumuika kutumbua majibu..Pamoja tutajumuika
Kafulia kwenye kiza kisicho pambazuka !!!ZZ mwenyewe kafulia
Majibu unayo ukitafakaritutajumuika kutumbua majibu..
Ukitafakari ndipo utapata ujuziMajibu unayo ukitafakari
Ujuzi muhimu kupata ajiraUkitafakari ndipo utapata ujuzi
Ajira ya nini Mimi najiajiriUjuzi muhimu kupata ajira
Wanamahaba ya siyo fichika !! ati Blaki Womani kweli haya ??Ukitafakari Blaki women Na ZZ wanamahaba
Wanamahaba ya dhati waliojichaguliaUkitafakari Blaki women Na ZZ wanamahaba
Haya yana maana ukisoma kwa bidiiWanamahaba ya siyo fichika !! ati Blaki Womani kweli haya ??
Bidii ni moja yajitihada za kutafuta... yaweza kupata au kukosaHaya yana maana ukisoma kwa bidii
Kukosa ama kupata yote ni majaliwaBidii ni moja yajitihada za kutafuta... yaweza kupata au kukosa
Majaliwa Qassim Majaliwa ndiyo Waziri mkuu kijana ktk awamu hii ya mpyaKukosa ama kupata yote ni majaliwa