Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Jumapili ukimaliza kwake basi jumatatu uje kwangu.....😛Kwako ntakuja jumapili
Jumapili ukimaliza kwake basi jumatatu uje kwangu.....😛Kwako ntakuja jumapili
Mbele kwa mbele utawala mpya "hapa kazi tu"Jumapili hatufanyi anasa ni maombi na maombezi kwakwenda mbele
Kwangu mie kumsaidia mtu sio shida.Jumapili ukimaliza kwake basi jumatatu uje kwangu.....😛
Tu tu tu tu ........ mlio wa goboreMbele kwa mbele utawala mpya "hapa kazi tu"
Kwangu sitaki wageniJumapili ukimaliza kwake basi jumatatu uje kwangu.....![]()
Kichwa ndio uonozi wa kila jamboKodi ya kichwa...
Gobore lla babu yangu nimelipeleka katika jumba la maoneshoTu tu tu tu ........ mlio wa gobore
Wageni hujaga na baraka zao, acha ubakhili ...Kwangu sitaki wageni
Kwangu ndio naanza.Fanyeni kazi msichezee kaziJumapili ukimaliza kwake basi jumatatu uje kwangu.....😛
Maonyesho hayafai kwa utawala wa magufuliGobore lla babu yangu nimelipeleka katika jumba la maonesho
Magufuli kasisitiza tuutangaze utalii wa taifa letu....Maonyesho hayafai kwa utawala wa magufuli
Letu jiji ni maarufuMagufuli kasisitiza tuutangaze utalii wa taifa letu....
Kazi na mawasiliano ya kijamii ndiyo mfumo wa mwaka 2016Kwangu ndio naanza.Fanyeni kazi msichezee kazi
Letu limekua laoMagufuli kasisitiza tuutangaze utalii wa taifa letu....
Maarufu kwa lipi, vivutivo au mazingira ??Letu jiji ni maarufu
Lao ni lao nasi tuna kwetu japo kuna matopeLetu limekua lao
Mazingira yaliyo salamaMaarufu kwa lipi, vivutivo au mazingira ??
Salama Salmini kwa wana wa Dar-Es-Salama jiji lenye kulalama..Mazingira yaliyo salama
Kulalama haijawahi kuwa dawa ya mafanikioSalama Salmini kwa wana wa Dar-Es-Salama jiji lenye kulalama..
Salama kama utatumia kondomMazingira yaliyo salama