Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,351
Karibu mgeni karibu hadi chumbaniLangu ni ZZ ukiona nyuki ujue nami nipo karibu
Karibu mgeni karibu hadi chumbaniLangu ni ZZ ukiona nyuki ujue nami nipo karibu
Shindwa na ulegee kila mahaliKwangu hamnikumoi ng'o Na Sita shindwa
Chumbani ni kwa watu wazimaKaribu mgeni karibu hadi chumbani
Babeli ni BABYLONE ipo IRAQ ni mji aliozaliwa IBRAHIMShindweni Na Hilo lenu babeli
Ibrahim naona umetupiamo na kapichaBabeli ni BABYLONE ipo IRAQ ni mji aliozaliwa IBRAHIM
![]()
Wazima sawa, jee watu nusu kwao ??Chumbani ni kwa watu wazima
Kapicha ni moja ya kumelewesha viizuri apate kutafakariIbrahim naona umetupiamo na kapicha
Kutafakari ni sifa moja wapo ya Greater ThinkerKapicha ni moja ya kumelewesha viizuri apate kutafakari
Kutenda ni moja ya kujiendeleza hatimaye unafanikiwa ukitakachoKutafakari ni muhimu sana kabla ya kutenda
Ukitakacho kipo kwenye gauni lake.Kutenda ni moja ya kujiendeleza hatimaye unafanikiwa ukitakacho
Thinker pekee bila implementation hakuna tijaKutafakari ni sifa moja wapo ya Greater Thinker
Kutenda dhambi sio sifaKutafakari ni muhimu sana kabla ya kutenda
Lake ni lake hayanihusu mie bila radhaa za wote wawiliUkitakacho kipo kwenye gauni lake.
Sifa hupelekesha mtu kukufuruKutenda dhambi sio sifa
Sifa .ni kitambulisho cha wahayaKutenda dhambi sio sifa
Wote wawili mkielewana mtajenga family imaraLake ni lake hayanihusu mie bila radhaa za wote wawili
Sifa zimezidi humuKutenda dhambi sio sifa
Msijumuishe wenzenuSifa .ni kitambulisho cha wahaya