Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
vyepesi hupeperuka juu kwa juu kama taiVilivyo elea ujue ni vyepesi
vyepesi hupeperuka juu kwa juu kama taiVilivyo elea ujue ni vyepesi
Tai huvaliwa kwa kikoi cha pwani au kwa suti za Nairobi..?vyepesi hupeperuka juu kwa juu kama tai
Suti za kisasa haziwezi kupata soko, kwa kuwa Vijana hawana uwezo na ajiraTai huongeza muonekano haswa uvaapo suti
Jamani uatakuaje wa mwisho!! kwani mshindi kesha tangazwa??Mimi ndio wa mwisho jamani
Jamani uatakuaje wa mwisho!! kwani mshindi kesha tangazwa??
mshindi ni nan? Tena jamaniJamani hassandady umetenguliwa (disqualified) kwa sbb hutumii sheria ya mchezo![]()
mshindi ni nan? Tena jamani
@hassadadyUnieweleshe na mimi bado nipo kwenye giza
mnaoparangana na kuwaridhisha mademu na vibamia vyenu komaeni tu mwishoe vikatikie mo!!!!!!!@hassadady
Giza limewafunika HC na HD !! kwa kuwa hamkufuata utaratibu wa uzi hapo juu ndo mnaparaganya
Vipi kwema mkuu@hassadady
Giza limewafunika HC na HD !! kwa kuwa hamkufuata utaratibu wa uzi hapo juu ndo mnaparaganya
Mkuu wa wilaya ya Mashariki anaomba msaada wa harakaVipi kwema mkuu
haraka haraka haina barakaMkuu wa wilaya ya Mashariki anaomba msaada wa haraka
Baraka ni jina la mdogo wanguharaka haraka haina baraka
Baraka ikikosekana ndani ya maisha, basi masaibu yata tawala...haraka haraka haina baraka
wangu limetumika kama kieleziBaraka ni jina la mdogo wangu