Wa mwisho ndiyo mshindi

hahaa, ile gemu haiwezi pata mshindi kwa kua haina refa, labda tumwombe moderator mmoja awe refa, kuna jamaa alimalizia kwa kichina ila bado wakakichakachua!!
Wakakichakachua kirobota cha mitumba bila mwenyewe kutambua
 
hahaa, ile gemu haiwezi pata mshindi kwa kua haina refa, labda tumwombe moderator mmoja awe refa, kuna jamaa alimalizia kwa kichina ila bado wakakichakachua!!

Hatuwezi kumaliza game kwa kuchanganya lugha, kwa sababu ukiweka kichina wengine hatukielewi ndio maana hatukuendeleza. Ngoja nimtafute mwanzisha thread. Ataiona kwenye alert zake.
 
Mkuu Wambuzi njoo upulize kipenga cha kumaliza game hapa. Watu tumefikiria neno la kumaliza hii game uliyoanzisha tukalipata, lakini naona watu wameendelea kuchakachua. Sema kama hapa chini haionyeshi hii game sasa imekwisha;

Tutusa humu ndani ni mmoja tu!
 
Mkuu Wambuzi njoo upulize kipenga cha kumaliza game hapa. Watu tumefikiria neno la kumaliza hii game uliyoanzisha tukalipata, lakini naona watu wameendelea kuchakachua. Sema kama hapa chini haionyeshi hii game sasa imekwisha;
imekwisha tambulika kuwa baadhi wanaSiasa wa bongo ni washirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…