Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Mbaroni alitiwa mhalifu yule.Zake zilipofika hakuwa na ujanja akajikuta mbaroni
Mbaroni alitiwa mhalifu yule.Zake zilipofika hakuwa na ujanja akajikuta mbaroni
Yule ndiyo alikuwa kiongozi wa majambaziMbaroni alitiwa mhalifu yule.
Majambazi ni watu wanaoonekana wema tunapoishi nao kwenye jamii, ila usiombe ukutane nao wakiwa kazini!!!Yule ndiyo alikuwa kiongozi wa majambazi
Kazini!!! siyo pakuchezea, kama wasemvyo "cheza na mshahara" usicheze na kaziMajambazi ni watu wanaoonekana wema tunaoishi nao kwenye jamii, ila usiombe ukutane nao wakiwa kazini!!!
Kazi ni kazi alimradi mkono uende kinywani na usivunje sheria.Kazini!!! siyo pakuchezea, kama wasemvyo "cheza na mshahara" usicheze na kazi
Kazi ni kazi alimradi mkono uende kinywani na usivunje sheria.
Sheria ni msumeno, msumeno unakula pande zoteKazi ni kazi alimradi mkono uende kinywani na usivunje sheria.
Mbinguni ni kuhesabiwa matendo yetuSheria hapa subiri kesho mbinguni
Yetu bia pendwa Safari.Mbinguni ni kuhesabiwa matendo yetu
Yetu bia pendwa Safari.
Bure haitokufikisha popoteSafari ya kupanda mlima kilimanjaro leo ni bure
Popote niendako Tanzania ndo homeBure haitokufikisha popote
Home sweet home... ila usiwe kama kobe, jitume kama mwewe upaae juuPopote niendako Tanzania ndo home
Juu hakika nitapaa sky is the limitHome sweet home... ila usiwe kama kobe, jitume kama mwewe upaae juu
Limit siyo lengo letu hapa, Siye to lenge HorizonJuu hakika nitapaa sky is the limit
Horizon imeniletea ushindi au bado tunaendelea ?Limit siyo lengo letu hapa, Siye to lenge Horizon
Tunaendelea kupambana na mafisadi mpaka kielewekeHorizon imeniletea ushindi au bado tunaendelea ?
Kieleweke uhalali uliyomfikishaTunaendelea kupambana na mafisadi mpaka kieleweke