Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Pembeni kumesha jengwa uzio mkubwa wa kasri la kigogoAnakoishi kuna njia ya kuchepuka pembeni
Pembeni kumesha jengwa uzio mkubwa wa kasri la kigogoAnakoishi kuna njia ya kuchepuka pembeni
Kutupwa mbali huko fisadi huyo na kusahauliwa kisiasaKigogo Mkubwa kuzidi wote Tanzania ndio fisadi wa kutupwa
Hivi mnapokusudi kutoa kashfa za wenzenu mnapata faida ipi....namalizia kwa kusema hivi,
Makosa mengine humu kwenye Uzi huu yanafanywa kwa kutokuelewa mtiririko...kujirekebisha na upaswi kurudia makosa
Nne nayo ni nafasi kama zilivyo nafasi nyingine.Mtiririko wa ligu kuu ya uingereza hautoi nafasi kwa man utd kumaliza nafasi ya nne
Nyingine ilifuatia ule mlipuko wa mwanzo uliyosababisha motoNne nayo ni nafasi kama zilivyo nafasi nyingine.
kasi hii aliyo nayo Zamiluni Zamiluni ni kutaka kuwa wa mwisho na mshindi katika huu uziMoto ni vigumu sana kuuzima ukianza kushika kasi
Uzi huu ni Wambuzi aliuwanzisha miaka mine iliyopita mie nimsindikiizajikasi hii aliyo nayo Zamiluni Zamiluni ni kutaka kuwa wa mwisho na mshindi katika huu uzi
nimusindikizaji kwa kila hatua hamna chochote aa=nacho kifanyaUzi huu ni Wambuzi aliuwanzisha miaka mine iliyopita mie nimsindikiizaji
Kiswahili kimetukuka katika lugha taamu barani afrikaKifanya kifanyio kifanyaji vyote ni kiswahili
Afrika ni bara tajiri duniaKiswahili kimetukuka katika lugha taamu barani afrika
Dunia in kitu duni !! Dunia ina hadaa, mwishoe unaodoka patupuAfrika ni bara tajiri dunia
Patupu kaondoka pamoja na mbwembwe zake.Dunia in kitu duni !! Dunia ina hadaa, mwishoe unaodoka patupu
Zake zilipofika hakuwa na ujanja akajikuta mbaroniPatupu kaondoka pamoja na mbwembwe zake.