Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
mapajani LAPTOP inapata motoWamepakatwa kwa kukalia mapajani
mapajani LAPTOP inapata motoWamepakatwa kwa kukalia mapajani
Mbali ya kuchapiwa bado unabembelezaMoto wa kuotea mbali
Unabembeleza tupewe hakuna kununaMbali ya kuchapiwa bado unabembeleza
Kununa kwa mke, furaha kwa mchepukoUnabembeleza tupewe hakuna kununa
ndoa za ukweli siku hizi hazipoMchepuko ni sumu kwenye ndoa
hazipo zile size za vibonge kama yule msh'kajindoa za ukweli siku hizi hazipo
Msh'kaji mwenyewe kachemshahazipo zile size za vibonge kama yule msh'kaji
Kachemsha maji ya ugali kabla haja nunua ungaMsh'kaji mwenyewe kachemsha
Unga wa protini ni mzuri kwa lisheKachemsha maji ya ugali kabla haja nunua unga
lishe ya watoto wachanga ina walakiniUnga wa protini ni mzuri kwa lishe
Walakini wa lishe hiyo ni upi?lishe ya watoto wachanga ina walakini
Walakini! Kivipi?lishe ya watoto wachanga ina walakini
Mimi najua kuwa anachepuka na baba mwenye nyumba.Anachepuka na mimi.
Kivipi? kwani imegundulika huko kiwandani wanachakachuaWalakini! Kivipi?
upi? wanaongeza unga wa udaga kuzidisha uzitoWalakini wa lishe hiyo ni upi?