Kiunguja,kingazija,kipemba ni lahaja za kiswahiliDoro hili neno la kiunguja
kiswahili ni lugha ya waarabuKiunguja,kingazija,kipemba ni lahaja za kiswahili
Waarabu ni balaa kwa "kula jicho"kiswahili ni lugha ya waarabu
ilivyokuwa mpaka leo hamjampata mshindi, kweli mu majuhaHivyo ndo ilivyokuwa
Juha ni mfalme ktk kitabu kimoja hivi niliwaikisomailivyokuwa mpaka leo hamjampata mshindi, kweli mu majuha
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Niliwaikisoma kitabu cha mfalme juha kina wahusika werevu sanaJuha ni mfalme ktk kitabu kimoja hivi niliwaikisoma
Sana Sana mfalme juha.Niliwaikisoma kitabu cha mfalme juha kina wahusika werevu sana
Juha ni mmoja Wa wahusika ktk kile kitabu mwingine aliitwa bakariSana Sana mfalme juha.
Wote waliondoka na nyuso zenye huzuni baada ya kuona tegemeo lao ktk maisha limeyeyuka baada ya kusikia kuwa mwaka huu hakutakuwa na mvua za masika. Ilihali walikwenda kusikiliza taarifa za hali ya hewa kwa mjumbe ambae yeye pekee ndiye mwenye radio kijijini pale.Bakari ni kijana mwelevu kuliko vijina wote
Pale ulileta stori ndefuWote waliondoka na nyuso zenye huzuni baada ya kuona tegemeo lao ktk maisha limeyeyuka baada ya kusikia kuwa mwaka huu hakutakuwa na mvua za masika. Ilihali walikwenda kusikiliza taarifa za hali ya hewa kwa mjumbe ambae yeye pekee ndiye mwenye radio kijijini pale.
ndefu kama mwezi januaryPale ulileta stori ndefu
Kwetu pazuri ni nyimbo ya kwaya waimbaji wake wengi wanatkea Rwanda kwa Mzee Wa ftna kagameJuma amekua mtu mkarimu sana kwetu