shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Kukuangaliaga sitaki kAbisaVile wewe ulivyo dah raha sana kukuangalia
Kukuangaliaga sitaki kAbisaVile wewe ulivyo dah raha sana kukuangalia
Kabisa wewe huwezi kuacha kuniangaliaKukuangaliaga sitaki kAbisa
Kuniangalia ni kosa la jinaiKabisa wewe huwezi kuacha kuniangalia
Jinai acha nifungwe tu maana hamna namna,hivi wewe ni ke au me?Kuniangalia ni kosa la jinai
Me........Jinai acha nifungwe tu maana hamna namna,hivi wewe ni ke au me?
.......ni alama ya deshideshiMe........
Deshideshi maana yake msg is too short,try to fill the space.......ni alama ya deshideshi
Space ndiyo nini kwa lugha ya kiswahiliDeshideshi maana yake msg is too short,try to fill the space
Kiswahili cha nitatiza sanaSpace ndiyo nini kwa lugha ya kiswahili
sana ukiiongezea 'a' inakua sanaaKiswahili cha nitatiza sana
Sanaa ya tz inakuasana ukiiongezea 'a' inakua sanaa
Inakua upande gani?Sanaa ya tz inakua
? alama ya kulizaInakua upande gani?
Kuliza au kuuliza?? alama ya kuliza
nafasi ya kuwa raisi wa TANZANIA kila siku nikilala naotaMaada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi
Naota ndoto ya mchana
mchana wa Leo nimeotaa nipo ikulu na alimselemaNaota ndoto ya mchana