Figisu ndio nini?9908 ni namba ya post iliyopandikiza figisu.
nini shida yako mkuu, figisu imerasimishwa na aliyeleta kampa-kampa-tena.Figisu ndio nini?
Tena ukiona mtu anaharibu mtiririko wa Uzi huu jua anaukosefu wa matumizi mazuri ya ubongo kichwaninini shida yako mkuu, figisu imerasimishwa na aliyeleta kampa-kampa-tena.
Kichwani anakua yuko empty kabisaaaTena ukiona mtu anaharibu mtiririko wa Uzi huu jua anaukosefu wa matumizi mazuri ya ubongo kichwani
kabisaaa inasikika kama kibisa au ulimaanisha kabisa.Kichwani anakua yuko empty kabisaaa
Kabisa kwa kingerza utaisemajekabisaaa inasikika kama kibisa au ulimaanisha kabisa.
utaisemaje!, sina ufahamu kwa utamshi wao wa lahaja.Kabisa kwa kingerza utaisemaje
Lahaja pia ni lugha hivyo yaweza andikwautaisemaje!, sina ufahamu kwa utamshi wao wa lahaja.
mema kwa ipi mizania.Andikwa jina lako kwenye kitabu cha uzima kwa kutenda mema
mkubwa sana..lakini ana mambo ya kitotokamba uwa kubwa uki2mia mzgo mkubwa
Kitoto kidogo kinalia sana usikumkubwa sana..lakini ana mambo ya kitoto
Usiku hutumika vizuri kutengenezea watotoKitoto kidogo kinalia sana usiku
Watoto Wa siku wanaona wenzao wakitengenezwa usikuUsiku hutumika vizuri kutengenezea watoto
Wakulala Ni watoto....Usiku ni muda wakulala