kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
Siasa ndio inayoendesha duniaWapi nji hii inaelekea kama kila siku ni malumbano ya siasa
Siasa ndio inayoendesha duniaWapi nji hii inaelekea kama kila siku ni malumbano ya siasa
Music ya bongo imeshikwa na mameneja wanne tuu ukigombana nao hutoki hata uimbe kama malaikaalama y music
Usichokifahamu ni bora kuuliza kuliko hawa wanaovuruga uzi!! Unakua hauna mtiririko mzuriKuuliza si ujinga ila ni kutaka kufahamu usichokifahamu
Mzuri anaolewa nung'ayembe anahangaikaUsichokifahamu ni bora kuuliza kuliko hawa wanaovuruga uzi!! Unakua hauna mtiririko mzuri
Vijana wa sikuhizi wamepoteza maadili kabisa.Sanasana zatumiwa na vijana
Kabisa na Kibisa je ni mtu na ndugu yake? Au majina tu yanafananaVijana wa sikuhizi wamepoteza maadili kabisa.
mabaya wengine wanaona mazuri.Mawazo mazuri hutoa matokeo mazuri na mawazo mabaya Hutoa matokeo mabaya.
Mazuri yote niliyomfanyia leo hii ananinyima papuchimabaya wengine wanaona mazuri.