Hawafilisiwi kwa sababu wanaogopwaShida iliopo wanaachiwa hawafilisiwi
Wanaogopwa utadhani magaidiHawafilisiwi kwa sababu wanaogopwa
Magaidi na mafisadi hawana tofauti kubwa sanaWanaogopwa utadhani magaidi
Sana ni kielezi au kivumishi?Magaidi na mafisadi hawana tofauti kubwa sana
Kivumishi cha uboraKivumishi
Ubora Wa magufuri ktk kutumbua haulinganishwi na jinsi anavyoongea kingereza na sisi hatutaki kingereza wala majipu tunataka maendeleo.Kivumishi cha ubora
Jasho bila akili na maarifa hakuna maendeleo.Maendeleo hayaji bila jasho
Wengi humu wanandoto ya kuwa washindi lakini abadan, angali mimi nipo ntahakikisha hakuna BingwaMaendeleo huletwa na wengi
Mshindi ni magufuli japo wengine wanasema alimshinda lowassa kwa fitnaBingwa hata wewe hutaki kuwa!!! Basi wote tusicomment ili asipatikane mshindi
Fitina nilifanyiwa na baba mwenye nyumba nikamegewa mke wangu..Mshindi ni magufuli japo wengine wanasema alimshinda lowassa kwa fitna
Wangu akimegwa ajue imekula kwake mazima..!Fitina nilifanyiwa na baba mwenye nyumba nikamegewa mke wangu..
Mazima wapi wewe watu kama nyinyi mnaombaga msamaha kosa sio lenuWangu akimegwa ajue imekula kwake mazima..!
Mazima wapi wewe watu kama nyinyi mnaombaga msamaha kosa sio lenu
Pendwa pendwa wengi hapa mjini ni madada na makaka ni mapendapendaLenu liwe lako lakini mahaba ndio yalivo kila mtu anapenda asipo pendwa
mapenda penda ya kitu gani!Pendwa pendwa wengi hapa mjini ni madada na makaka ni mapendapenda