Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,249
- 3,070
mapenda penda ya kitu gani!
Gani kitu gani ndomana ww ni fala leo asubuhi umeeka mkate barabara ya tazara, nakuuliza nn tatizo eti unangojea jam
mapenda penda ya kitu gani!
jam ya bure ipo kama wewe bado unanunua pole...Gani kitu gani ndomana ww ni fala leo asubuhi umeeka mkate barabara ya tazara, nakuuliza nn tatizo eti unangojea jam
Polepole ndo mwendojam ya bure ipo kama wewe bado unanunua pole...
Polepole ndo mwendo
Hatari kuu kwa serikali ya magufuri ni mafisadi papa na wapigajiMwendo wa serikali ya Magufuli ni hatari
Hatari kuu kwa serikali ya magufuri ni mafisadi papa na wapigaji
Alshabab ni wapiganaji Mimi niliandika wapigajiWapiganaji wanaohofiwa ni alshabab
wapigaji wana hofu ya kutumbuliwa majipu.Alshabab ni wapiganaji Mimi niliandika wapigaji
Awapigaji wana hofu ya kutumbuliwa majipu.
Kwapani kutoako harufu kumemtia kinyaa mtumbuaji, sasa anakazana na yalio kwenye wajihiA
Majipu mengi yapo kwapani..'
Kwapani kutoako harufu kumemtia kinyaa mtumbuaji, sasa anakazana na yalio kwenye wajihi
Mshindi ni mimi nasubiri kuvikwa taja la ushindi tuUgomvi napendaga mana nakuwaga mshindi
Mwenyewe unaonekana una tetemekaTu lia hapa nimtangaze mshindi mwenyew
Tetemeka ni zaid ya tentementeMwenyewe unaonekana una tetemeka