monomotapa
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 437
- 327
Haiingii akilini kabisaaa watu wachache wanakwiba mapato yanayokaribia nusu ya bajeti ya nchi kwa mwaka na kusababisha huduma za jamii kuzorota kama vile hakuna Serikali nakuacha maisha ya watu masikini yanakwenda hovyohovyo