Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Jamani mambo polepole
Polepole ndio mwendo..
Jamani mambo polepole
mwendo wa maringoPolepole ndio mwendo..
maringo yamewaponza wengi.mwendo wa maringo
maringo yamewaponza wengi.
lolote tu litafaa ndiyo mwisho wao wenye maringo.Wengi humu wanajifanya mambo safi kumbe hamna lolote
lolote tu litafaa ndiyo mwisho wao wenye maringo.
wewe uliye juu ndiye tumaini langu.Maringo ya masistaduu wa masaki utashindwa wewe
langu lakowewe uliye juu ndiye tumaini langu.
langu lako
Utaliweza jibu hilo wala usihofu
Usihofu mi ni wako.. wako peke yako
humli sababu ana maringoBata ukimchunguza Sana humli
humli sababu ana maringo
Kaburini sidhani kama kuna mlimani cityMaringo mwisho kaburini
Kaburini sidhani kama kuna mlimani city
City Mall ndio habari ya mjini
tu?Mjini kariakoo na posta kwengine mmbwembwe tu
?....!