Ah Os
Member
- Dec 12, 2015
- 15
- 8
yupo wapi tenaPink yule mwanamziki wa marekani yupo?
yupo wapi tenaPink yule mwanamziki wa marekani yupo?
Tena ukiendelea kumuulizia Pink lazima jamaa ake akumind.yupo wapi tena
Zanzibar uchaguzi unarudiwa kisa jechaWamekushinda wa Mombasa njoo Zanzibar
Jecha hana kosa lolote alilazimishwaZanzibar uchaguzi unarudiwa kisa jecha
Alilazimishwa aolewe na kibabu akakataa katukatu.Jecha hana kosa lolote alilazimishwa
katukatu alikataa mpaka uchaguzi urudiwe hayo ni jecha.Alilazishwa aolewe na kibabu akakataa katukatu.
Kifo cha kitu gani tenaElimu mwisho wake ni kifo
Elimu haikiwezi kifoKifo cha kitu gani tena
kifo kifooo kifoooooo, huku unavuruga mtiririkoElimu haikiwezi kifo
Mtiririko wa fikra zake haujakaa sawa pengine..kifo kifooo kifoooooo, huku unavuruga mtiririko
Fulani anajitahizi ili awe Wa mwishoAisee huwezi kujikataa maana wewe ndio unaejijua kuliko mtu mwingine yeyote. Hakuna akujuae zaidi yako wewe. Wapo waliokulea,wapo waliokuzaa, wapo waliotaka upotee, wapo waliokuuliza maswali kuhusu wewe, wapo waliotaka kukutawala au wanaokutawala sasa, pia wapo wanaofatilia maisha yako.
Lakini hao wote hawakujui hata robo.
Ishi kama utakavyo... Usiishi kama watakavyo watu fulani au mtu fulani

Sizizoelezeka ni hotuba za magufuliAibu ni pale raisi anaposhindwa kuifikisha nchi katika mafanikio kwa ahadi zisizotekelezeka.