subadesubking
Senior Member
- Jan 17, 2015
- 196
- 327
sala muhimu ila kujichanganya na masela weekend ni fresh
Ulimwengu ni mwalimu wa mtoto mkaidiWewe ni wa thamani sana katika ulimwengu
mkaidi hafaidi mpaka siku ya idd.
jipu au kijipu uchungu.Iddi Azan mbunge wa zamani bora aje kumreplace kubenea maana kubenea ni jipu
Uchungu wa mwana aujuaye mzazijipu au kijipu uchungu.
Mzazi ndiye mwenye uchungu na mwanae hata kama ni Jambazi.Uchungu wa mwana aujuaye mzazi
MmmhNene sana zinasumbua.
Mmmh
Mmmh, usituharibie uzi wewe kilaza.
Dodoma ndipo Serikali inatakiwa ihamishie makao yake.Kisasa ni sehemu iliyoko mji wa Dodoma
yake ya kwake na ya wenzake yake pia.Dodoma ndipo Serikali inatakiwa ihamishie makao yake.