Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mwanaume? Hapana maana nikikuuliza huo uume ni wa nani utasema ni wako.
Nikikuuliza huo mwili uliokutambulisha ww kama mwanaume utasema pia huo mwili ni wako. Mikono yako, miguu yako, macho yako, kichwa chako, kiuno chako, kiwiliwili chako akili yako, kifua chako tumbo lako nk.

Sasa wewe unayedai vyote hivyo ni vyako wewe ni nani? Na uko wapi?
Wapi? Duh, basi mimi ni nafsi
 
Pia inavyozungushwa ndivyo ambavyo umenizungusha mkuu
Mkuu, hahahahah. Kama usemavyo gari langu, ela zangu, nyumba yangu, ndivyo usemavyo roho yangu, nafsi yangu, mwili wangu akili yangu mpaka na Mungu ni wakwako. Sasa wewe utakuwa ni nani?.
Chakushangaza hata wazazi wako hawakujui ndio maana ulipozaliwa wakaamua kukuita Danhosnoop kama kiashiria tu. Hivyo hapa duniani hatujuani kabisa tumeishi tu kwa mazoea
 
Vizuri sana mkuu, umechangamsha vyema ubongo wangu mimi
Mimi pia. Kuna siku nilijihoji haya maswali huku nikijitazama kwenye kioo nikiwa uchi, sasa kilichofuata niliianza kujiogopa mwenyewe.
Jaribu kufanya hivyo uone. Kama umezaliwa 1980, utaona kama pia unakumbuka vitu vya karne hata ya 5
 
Mimi pia. Kuna siku nilijihoji haya maswali huku nikijitazama kwenye kioo nikiwa uchi, sasa kilichofuata niliianza kujiogopa mwenyewe.
Jaribu kufanya hivyo uone. Kama umezaliwa 1980, utaona kama pia unakumbuka vitu vya karne hata ya 5
5 kamili asubuhi ya leo kwa saa za afrika mashariki ntaanza zoezi hilo ili nijionee mwenyewe
 
5 kamili asubuhi ya leo kwa saa za afrika mashariki ntaanza zoezi hilo ili nijionee mwenyewe
Mwenyewe jitahidi kujiuliza wewe ni nani.
Umetoka wapi tofauti na kuzaliwa na mwanamke? Maana wazazi wenyewe hawakujui ndio maana baada ya kutoka tumboni tu walijadiliana wakaamua kukupa hilo jina walilokupa.
 
walilokupa unadhani linaendana na ulivyo na je ushawahi kuhisi kulichukia jina lako?
 
mwenyewe natafakari na kujiuliza mimi ni nani nahisi kukosa majibu kabisa unaweza kujikataa aisee
Aisee huwezi kujikataa maana wewe ndio unaejijua kuliko mtu mwingine yeyote. Hakuna akujuae zaidi yako wewe. Wapo waliokulea,wapo waliokuzaa, wapo waliotaka upotee, wapo waliokuuliza maswali kuhusu wewe, wapo waliotaka kukutawala au wanaokutawala sasa, pia wapo wanaofatilia maisha yako.
Lakini hao wote hawakujui hata robo.
Ishi kama utakavyo... Usiishi kama watakavyo watu fulani au mtu fulani
 
Back
Top Bottom