kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
Moderate ni lugha ya kigeniKiasi kwa 'kidhungu' ni moderate
Moderate ni lugha ya kigeniKiasi kwa 'kidhungu' ni moderate
Mara unakurupukaKigeni ni ngumu sana kuzoea labda ukifanyie mazoezi mara kwa mara
Wako au wakeKujinjea ni msamiati wako
Kiroho ndo kidini?Sasa ni muda vijana wajitambue kiuchumi,kijamii,kimwili,kisiasa na kiroho
umekaribia kabisa tujiandae kwa maombi na salaSawa na kujua mwisho wa dunia umekaribia
umekaribia kabisa tujiandae kwa maombi na sala
Jehanam inafaa kukaangia chips au kuchomea mishkaki?Hatari kama moto wa jehanam
Ng'ombe na kuku sio mitamu kama mishkaki ya mbwaMshikaki wa kuku au ngombe
Mbwa ? Utapigwa na jamaa wa iringa wew?Ng'ombe na kuku sio mitamu kama mishkaki ya mbwa