Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Khalidoun umeona hii habari?
Habari hii ni murua sana ma sikioni mwangu
Khalidoun umeona hii habari?
Mwangu pia mkuu, maana ban ntaiskia kwenye bomba tu. Kila la kheri katika kubuni ID nyingineHabari hii ni murua sana ma sikioni mwangu
Nyingine atakayo buni asiweke hiyo ibnMwangu pia mkuu, maana ban ntaiskia kwenye bomba tu. Kila la kheri katika kubuni ID nyingine
Tena hapo ndio utakuwa mwisho wake .inahuzunishaIbn ikionekana anaweza kushtukiwa akapigwa ban tena
Inatisha!anajikaza kiumeInahuzunisha sana mkuu. Ila naona kama ibn khalidoun mwenyewe amekimbia. Kweli ban inatisha
Inatisha kujua majibu na watu hawaulizi maswali.Inahuzunisha sana mkuu. Ila naona kama ibn khalidoun mwenyewe amekimbia. Kweli ban inatisha
Maswali. ?yapi tena?Inatisha kujua majibu na watu hawaulizi maswali.
Tena bora umeniwahi mkuu, maana hata mimi ndo nlikua najiandaa kuuliza swali hiloMaswali. ?yapi tena?
Hilo hapo halikuwa limeeleweka.lakini naona ametukimbiaTena bora umeniwahi mkuu, maana hata mimi ndo nlikua najiandaa kuuliza swali hilo
Ametukimbia kweli, ngoja tumsubiri labda atakuja hivi karibuniHilo hapo halikuwa limeeleweka.lakini naona ametukimbia
Karibuni??? Thubutu!!! Kaogopa ban😀Ametukimbia kweli, ngoja tumsubiri labda atakuja hivi karibuni
Ban kweli sio kitu cha mchezo, watu wanapotea mmoja mmojaKaribuni??? Thubutu!!! Kaogopa ban😀

Mmoja mmoja wanapotea mpaka danhosnoop atabaki mwenyewe😉Ban kweli sio kitu cha mchezo, watu wanapotea mmoja mmoja![]()
Mwenyewe!!?? Aah wapi, sipo tayari kutafuta ID nyingine kwa sasa. Naona sasa upepo umebadilika na hatimaye mshindi anaelekea kua werrasonMmoja mmoja mpaka danhosnoop atabaki mwenyewe😉

Werrason a.k.a. Ngiama Makanda kawa wa mwisho.Mwenyewe!!?? Aah wapi, sipo tayari kutafuta ID nyingine kwa sasa. Naona sasa upepo umebadilika na hatimaye mshindi anaelekea kua werrason![]()
Werrason amefunikwa na Koffi Olomide kwa kibao cha SelfieMwenyewe!!?? Aah wapi, sipo tayari kutafuta ID nyingine kwa sasa. Naona sasa upepo umebadilika na hatimaye mshindi anaelekea kua werrason![]()
Mwisho Mwampamba amefuliaWerrason a.k.a. Ngiama Makanda kawa wa mwisho.