Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,045
Mgongo wa tembo ni staili ya ujenzi wa nyumba sijui kama unaifahamu?Mwili na ubongo kiuno na miguu kasoro mgongo
Mgongo wa tembo ni staili ya ujenzi wa nyumba sijui kama unaifahamu?Mwili na ubongo kiuno na miguu kasoro mgongo
Vile viroba ulivyogonga jana bana vipo kichwani?Ikwiriri ipo mkoa gani vile
Kichwani vimeisha nineongezea vingine tumboniVile viroba ulivyogonga jana bana vipo kichwani?
MAWAZO NDIO CHANZO CHA MBINU MBADALAlock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Mbadala haupatikani kwa kunywa pombe.usikimbie tatizo kabiliana nalo ..MAWAZO NDIO CHANZO CHA MBINU MBADALA
Mbadala haupatikani kwa kunywa pombe.usikimbie tatizo kabiliana nalo ..
Sentensi ni muunganiko wa maneno kwa kichina huitwa 머노뵥사본ㅂ조아어ㅣㄴ'Nalo' limekuwa neno gumu kuanzishia sentensi
머노뵥사본ㅂ조아어ㅣㄴ
ni muunganiko wa sentensi kwa kichina😀
tumcheke tu, maana alifikiri tutashindwatutashindwa kama alivyoshindwa fulanitumcheke tu, maana alifikiri tutashindwa
Fulani kaniharibia ushindi wangu hahahahahatutashindwa kama alivyoshindwa fulani
Bure bure beleshi
Bereshi maana yake ni nini? Fungukabeleshi au bereshi?
Bereshi mimi sijui, btw inategemeana na ntu na ntubeleshi au bereshi?