Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

baa la njaa limeukumba mkoa wa dodoma, nasikia wanakula jeshi la viwavi
 
Viwavi wale wadudu watamu kuliko kama huamni jaribu kuwala kwa nguna
 
Tola!!!!! Yule mzee mchoyo aliye kula gizani wanae walipo lala akatafuna kono kono!!!
 
Kono kono katafuna akatapika jamani tusiwe na tabia kama mzee tola
 
Mzee tola nae pamoja na uzee wake hakuachaga tabia zake ba vituko
 
Havivumiliki vitabia vya kukomenti sana hapa,natangaza rasmi mimi ndo mshindi!
 
Back
Top Bottom