Wanazingua sema tuko nao tu Kama wapinzani ila wajitahidi warekebishe makosa ya 2015Chadema nao sometimes huwa wanazingua.
Kubwa la maadui a.k.a. lara 12015 ccm walipata changamoto kubwa
Lala 1 ni mchumba tu mzuri hawezi kuwa kubwa la maadui kama savimbiKubwa la maadui a.k.a. lara 1
Upo ukweli katika methali za kiswahili.Savimbi upo
Crdb inajitanabaisha kama benki ya wakulima japo si kweli.Ulipo tupo kama crdb
Raha jipe mwenyewe, usingoje kupewa.Kweli ni kwamba jf ni raha
Raha jipe mwenyewe, usingoje kupewa.Kweli ni kwamba jf ni raha
Kupewa raha ni lazma..kujipa mwenyewe ni kupiga puchu..Raha jipe mwenyewe, usingoje kupewa.
Puchu ni mchezo wa wavulana, wanaume hawachezi.Kupewa raha ni lazma..kujipa mwenyewe ni kupiga puchu..
Hawachezi wapi wakati wengine wanaletaga Uzi huku wakitaka ushauri wa kuacha wako kwenye ndoa tangu 2002??Puchu ni mchezo wa wavulana, wanaume hawachezi.
Sana sana napendelea sharubati ya maembe.2002 kitambo sana