J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
Hujui kusoma hata picha huoni??Kuoga sio lazima ..kula ndio lazima kwani we hujui.?
Hujui kusoma hata picha huoni??Kuoga sio lazima ..kula ndio lazima kwani we hujui.?
Yako ndo ilinichekesha zaidiHujui tu jinsi nilivocheka baada ya kusoma comment yako
Zaidi ya mimi hakuna mshindi mwingineYako ndo ilinichekesha zaidi
Kabisa mimi ndimi roho na kweli..Mwingine wa nini wakati mimi ndo mshindi kabisa kabisa
Wangu ushindi mmeukubali..kweli yaonekana hamtaki kukubali ushindi wangu
Mmeukubali ndio maana hakuna aliechangia zaidi yanguWangu ushindi mmeukubali..
habari ya mjini ni jecha!
!
Nimeipenda kuliko hata nilivyopenda kichwa cha habari.
Jecha ndo nani/nini??habari ya mjini ni jecha
Kwanza habari ya asubuhi mkuu??Kubwa ya yote kwa asubuhi ni salam kwanza
Afya ndo uzima wenyewe mkuu haya wadau wengine hamjambo jambo??mwajionaje na khali??Mkuu mimi au wana jf wote hasa wanaofutilia uzi huu, kwangu mimi buheri wa afya