J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
Kali sigara ya zamani hivi mpaka leo ipo??Kwenda kuvutia bangi chooni ni tabia za vijana wa geti kali..
Kali sigara ya zamani hivi mpaka leo ipo??Kwenda kuvutia bangi chooni ni tabia za vijana wa geti kali..
Ipo..itaenda wapi sasa..Kali sigara ya zamani hivi mpaka leo ipo??
Sasa mi nalala tutaendelea keshoIpo..itaenda wapi sasa..
Kesho nitakuwa kule Zanzibar mh JPM atakuwa huko!!Sasa mi nalala tutaendelea kesho
Huko huko ntakutafuta kwani kuna tatizoKesho nitakuwa kule Zanzibar mh JPM atakuwa huko!!
Tatizo lipo maadili ya kazi haturuhisiwi kutumia simu..Huko huko ntakutafuta kwani kuna tatizo
Yotee mpaka shughuli ziishe..Simu huruhusiwi kutumia masaa yote??
Ziishe tu hamna shida utakuta game linaendelea mpaka mshindi apatikaneYotee mpaka shughuli ziishe..
Wetu sote na si kwa wachumia tumboYote yanahitajika katika kukuza uchumi wetu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Apatikane yupi mwingine,nitawapiga goal dakika ya 93Ziishe tu hamna shida utakuta game linaendelea mpaka mshindi apatikane
Mshindi ni mimi kwa taarifa yenu mnajisumbua tu pyeeeee!!Apatikane mshindi gani tena kwani mimi hamnioni mshindi
93 hahahaaa hapigwi mtu bao hapa mshindi ni mimiApatikane yupi mwingine,nitawapiga goal dakika ya 93
Mimi ndio nashinda,hata aliyeanzisha alijua mimi ndio mshindi halali..93 hahahaaa hapigwi mtu bao hapa mshindi ni mimi
Halali mtu hapaa mpaka kielewekeeeeMimi ndio nashinda,hata aliyeanzisha alijua mimi ndio mshindi halali..
Kielewekeeee kile kiwimbo cha wacha waisome namba eeehHalali mtu hapaa mpaka kielewekeeee
Eeeh eeeh chama cha mapinduzi ccm namba oneKielewekeeee kile kiwimbo cha wacha waisome namba eeeh