Mafisi, hahahaaaa mkuu umetishaSisi ndo sisi wengine mafisi
Kiwango wapi avatar kaweka mbayaaaUmetisha hata wewe jina tu kiwango
Kiwango zaidi ya SamataUmetisha hata wewe jina tu kiwango
Mbayaaaaa we yako nzuriKiwango wapi avatar kaweka mbayaaa
Laoza mpaka latoa harufuSamatta aka baba lao
Serengeti bia bora ujueHarufu mbaya ukipita maeneo ya kiwanda serengeti
serengeti ni mbuga kubwa TanzaniaHarufu mbaya ukipita maeneo ya kiwanda serengeti
Serengeti ni mali ya familia yangu..Tanzania haina mbuga inaitwa serengeti
Serengeti ipo mkuu google uoneTanzania haina mbuga inaitwa serengeti
Yangu kubwa yako ndogoSerengeti ni mali ya familia yangu..
Ndogo nimeiuza nimenunua jini!!Yangu kubwa yako ndogo
Ndogo nimeiuza nimenunua jini!!
tuone pichaUone wewe au mie maana mi najua hifadhi ya serengeti tu
Kwenda kuvutia bangi chooni ni tabia za vijana wa geti kali..Jini wa muembeni unamjua alichofanya alinawa mafuta ya muuza chips watu wote walitafuta njia ya kwenda