Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,301
- 51,947
Kukusaliti anaweza endapo ukiwepo mkosirafiki wa kweli hawezi kukusaliti
Kukusaliti anaweza endapo ukiwepo mkosirafiki wa kweli hawezi kukusaliti
Kukusaliti atakusaliti tu endapo haumgusi kunako mamboz..rafiki wa kweli hawezi kukusaliti
Kudonyoana kunaweza kupelekea mtu kufura tumbo..mamboz yenyewe cku hizi yamerahisishwa ni mwendo wa kudonyoana
tumbo kubwa halina bajeti nzuri
Anayeimiliki nipo naye club anakula bataNzuri hii nyumba..abarikiwe anaemiliki
Aretasludovick ni jina langu. Je! Mimi ni nani ninaedai hili jina ni langu?Hamkumchunguza kweli kama alivyotangulia kusema mkuu aretasludovick
Danhosnoop ni jina lako. Je? Ww ni nani unaedai hilo jina? Maana hakuna aliyezaliwa na jina. Hivyo jina ni mojawapo ya vitu vyako.Langu mimi ni danhosnoop
Nani? Mh, basi jibu sahihi nahisi mimi ni mwanadamuDanhosnoop ni jina lako. Je? Ww ni nani unaedai hilo jina? Maana hakuna aliyezaliwa na jina. Hivyo jina ni mojawapo ya vitu vyako.
Sasa ww ni nani?
Mwanadamu? hapana maana mwanadamu ni jina linalowakilisha kundi la viumbe fulani. Kama ilivyo simba, paka, mbwa n.k.Nani? Mh, basi jibu sahihi nahisi mimi ni mwanadamu
Yangu akili imekua confused mkuu, ila ngoja nijaribu tena, mimi ni mwanaumeMwanadamu? hapana maana mwanadamu ni jina linalowakilisha kundi la viumbe fulani. Kama ilivyo simba, paka, mbwa n.k.
Sasa wewe ni nani?
Kumbuka ukisema ww ni binadamu unakosea maana unatuwakilisha wanadamu wote.Hii.
Wewe ni nani ndugu yangu
Mwanaume? Hapana maana nikikuuliza huo uume ni wa nani utasema ni wako.Yangu akili imekua confused mkuu, ila ngoja nijaribu tena, mimi ni mwanaume