mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Magufuli katia kufuli katika ulaji wa watu
Magufuli huyu wa hapa kazi tu au mwingine.??Mwendawazimu ni yule aliyesifia safari za nje za Jk na kusema zina manufaa lakini magufuli alipozizuia akampongeza magufuli!
Mwingine asichangie mimi ndo wa mwishoMagufuli huyu wa hapa kazi tu au mwingine.??
Mwingine asichangie mimi ndo wa mwisho
wadau wengi wanasema yuko moro anauza matikitiMwisho Mwampamba kapotelea wapi wadau
wadau wengi wanasema yuko moro anauza matikiti
Utamu wa pipi ni mate yako mwenyeweMatikiti maji au tikiti utamu?
Matikiti maji au tikiti utamu?
MwenUtamu wa pipi ni mate yako mwenyewe
Watu gani..?Utamu kunoga ndio unaowaponza wake za watu.
nzuri???kwa hiyo we unapenda waingiliane?Mbaya kwa mwenzio nzuri
nzuri???kwa hiyo we unapenda waingiliane?
Kasharuhusu ngoma ichezwe hapaWaingiliane tuu maana obama kasharuhusu
Hapa kazi tu hakuna kucheza ngomaKasharuhusu ngoma ichezwe hapa
Ngoma nayo ni kazi kwa baadhi ya makabilaHapa kazi tu hakuna kucheza ngoma
makabila mengi yana mademu wazuri hasa wanyarwandaNgoma nayo ni kazi kwa baadhi ya makabila
Wanyarwanda hawawafikii wasomali..makabila mengi yana mademu wazuri hasa wanyarwanda
wasomali naona hawawafikii wahabeshiWanyarwanda hawawafikii wasomali..