KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,447
- 5,447
? Hii ni alama ya kuuliza.Viatu vya ngozi vya mnyama gani??????
? Hii ni alama ya kuuliza.Viatu vya ngozi vya mnyama gani??????
Kuuliza umechemsha unaendeleza neno moja la mwisho, mwenzio nae hivyo hivyo kachemsha kabeba maneno matatu? Hii ni alama ya kuuliza.
? Hutumika pia kuuliza maswali ya kuwakwepa wasiojulikana Kama anavyotumia Pascal Mayalla? Hii ni alama ya kuuliza.
Maneno matatu Ujinga umasikini na maradhi ndo yanasumbua nchiKuuliza umechemsha unaendeleza neno moja la mwisho, mwenzio nae hivyo hivyo kachemsha kabeba maneno matatu
Nime-edit tayariKuuliza umechemsha unaendeleza neno moja la mwisho, mwenzio nae hivyo hivyo kachemsha kabeba maneno matatu
Tayari ushaanza uogaNime-edit tayari
Mshindi nitakua mimi naahidi kupambania 10m hadi ipatikaneShaka ipo kama mimi sitakuwa mshindi
Ipatikane kivipi wakati watu washapewa hela tayarMshindi nitakua mimi naahidi kupambania 10m hadi ipatikane
Tayari kwa namna gani ilhali mshindi ni mimiIpatikane kivipi wakati watu washapewa hela tayar
Mimi nimekwambia watu wamekula hela kama wewe ukipewa ushindi itakuwa wa kuenjoy tuTayari kwa namna gani ilhali mshindi ni mimi
Tu, huwa ni ngumu kuanzia sentensi wadau 😅Mimi nimekwambia watu wamekula hela kama wewe ukipewa ushindi itakuwa wa kuenjoy tu
Wadau wapewe maneno magumu magumu kama hayo wakimbie😂Tu, huwa ni ngumu kuanzia sentensi wadau 😅
Wakimbie tubaki wachache nafasi ya kushinda iwe kubwaWadau wapewe maneno magumu magumu kama hayo wakimbie😂
Kubwa kubwa unamjuaWakimbie tubaki wachache nafasi ya kushinda iwe kubwa
Unamjua wewe tu kaka hilo sio jina la mtuKubwa kubwa unamjua
Mtu anayefahamika kwa jina hili ni wakala wa mabasi tandahimbaUnamjua wewe tu kaka hilo sio jina la mtu
Tandahimba ndo wapi ukoMtu anayefahamika kwa jina hili ni wakala wa mabasi tandahimba
Uko kwa kina konde boyTandahimba ndo wapi uko
Boy ni neno la kituruki au kiagapeUko kwa kina konde boy
Kiagape itakuwa 😅Boy ni neno la kituruki au kiagape