Wa mwisho ndiyo mshindi

Zaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania.
Tanzania umasikini unasabishwa na siasa za CCM, maamuzi ya kisiasa huwa Yana pande mbili chanya na hasi kwa Tanzania hasi ndiyo mpango mzima

Maamuzi ya kisiasa husababisha biashara zikuwe ama kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…