Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

bibie utakaemuoa hali ya kuwa si bikra jiandae kula na mwenzako na hata ukimkuta bikra jiandae pia kula na mwenzako dunia ya sasa ukitaka wako peke yako muumbe mwenyewe
 
mashetani wanasingiziwa kila uovu, mtu anazini, anaiba alafu anasema ni shetani alimpitia, kwani alikushikia bastola akakuambia lazima uzini???
 
uzini ili ukose mbingu?subiri wakati sahihi uoe kihalali ule raaaha kiulaini bila dhambi
 
Sasa ni wakati wa kujilinda na mengi ili Mungu atufikishe mwakani salama
 
Zinatengenezwaje sasa unafikiri bila kuchanganya na mafuta ya watoto wachanga waliotolewa kafara??
 
Back
Top Bottom