Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

kidogo tu magufuli awaaminishe watanzania kuwa ccm imebadilika
 
ishu nyingi zinazoongelewa hapa jamii forums ni za maana sana ila kuna nyingine zinaboa
 
Zinaboa kiasi kwamba nakua hata mvivu wa kuingia kwenye baadhi ya majukwaa
 
Majukwaa yote yafungwe, mi ndo wa mwisho na ndo mshindi mwenyewe, jaman makofi tafadhali
 
Nini hichi ndani ya JF, utumbo huu hautokuwa wa mtu na akili zake, huu utakuwa utumbo wambuzi.
 
mbuzi ni wewe ambaye umeshindwa kujua kuna jukwaa la utani hapa jamii forums unaishia kutukana, haikuhusu kama unapenda kua serious 24/7
 
saa ngapi hilo pilau litaiva? naona watu wote mnalisubiri kwa hamu
 
Back
Top Bottom