Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Mdee na mrs wake BulayaTamaa ilianzia kwa Mdee
Mdee na mrs wake BulayaTamaa ilianzia kwa Mdee
Mdee na mrs wake Bulaya
Mwingine amekamatwa leoBulaya huyu huyu au mwingine?
Leo wawili huko morogoro mama amewafuta kaziMwingine amekamatwa leo
Kazi za kuteuliwa hazina thamaniLeo wawili huko morogoro mama amewafuta kazi
Thamani ya kazi iwe ya kwako umejiajiriKazi za kuteuliwa hazina thamani
Umejiajiri kwa sababu una uthubutu na malengo ya maishaThamani ya kazi iwe ya kwako umejiajiri
Maisha bila kuwa na malengo Ni Kama msindikizajiUmejiajiri kwa sababu una uthubutu na malengo ya maisha
Msindikizaji ni yule asie na malengo yoyote maishani mwakeMaisha bila kuwa na malengo Ni Kama msindikizaji
Msindikizaji asie na mwelekeoMaisha bila kuwa na malengo Ni Kama msindikizaji
Mwake maishani kuna changamoto kibaoMsindikizaji ni yule asie na malengo yoyote maishani mwake
Maishani mwake ni mtu aliyekata tamaaMsindikizaji ni yule asie na malengo yoyote maishani mwake
Mwelekeo ni kujua ulipotoka, ulipo na unapoelekeaMsindikizaji asie na mwelekeo
Unapoelekea ni muhimu zaidi kuliko ulipotoka maana hujui mbeleni utakutana na niniMwelekeo ni kujua ulipotoka, ulipo na unapoelekea
Unapoelekea uzi huu mimi ndie mshindi mahiri.Mwelekeo ni kujua ulipotoka, ulipo na unapoelekea
Kibao Cha kukunia Nazi ama kile chenye maandishi kwa maelekezo fulaniMwake maishani kuna changamoto kibao
kazi lazima iendelee hakuna namna.Leo wawili huko morogoro mama amewafuta kazi
Namna ya kuingia jeshini, lazima uwe mkakamavukazi lazima iendelee hakuna namna.
Nini maana ya kutokata tamaa?Unapoelekea ni muhimu zaidi kuliko ulipotoka maana hujui mbeleni utakutana na nini