Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Zaidi ya unavyojuaRoho ni ya thamani zaidi
Zaidi ya unavyojuaRoho ni ya thamani zaidi
Simu inaita lakini hapokeiNdio maana nikasema umpigie simu
Unavyojua nimeshasahauZaidi ya unavyojua
Hapokei kwa sababu ametingwaSimu inaita lakini hapokei
Nimesahau kwa sababu haina umuhimuUnavyojua nimeshasahau
Ametingwa na nini?Hapokei kwa sababu ametingwa
Umuhimu wake upo ila hujaona tuNimesahau kwa sababu haina umuhimu
Nini atafanya wakati amekoseaAmetingwa na nini?
Tuna safari ndefu mpaka kufika mwisho wa huu uziUmuhimu wake upo ila hujaona tu
Uzi bora, Mimi ndio mshindiTuna safari ndefu mpaka kufika mwisho wa huu uzi
Amekosea lipi hiloNini atafanya wakati amekosea
Mshindi ulieshinda kwa goli la mkonoUzi bora, Mimi ndio mshindi
Hilo halikuhusu ni siri yake binafsiAmekosea lipi hilo
Mkono unaniumaMshindi ulieshinda kwa goli la mkono
Unaniuma pia, au tumerogwaMkono unaniuma
Binafsi sioni kama kuna haja ya siri hapoHilo halikuhusu ni siri yake binafsi
Tumerogwa na nani?Unaniuma pia, au tumerogwa
Hapo tumekubaliana, sasa ukalale maana sioni mwisho wa hii gameBinafsi sioni kama kuna haja ya siri hapo
Nani anajua labda wenye nia ovuTumerogwa na nani?
Game nzuri, Kulala muda badoHapo tumekubaliana, sasa ukalale maana sioni mwisho wa hii game