El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 484
- 2,123
Wakali wa mbuga ni simba na chui.Msitu mkubwa una wanyama wakali
Wakali wa mbuga ni simba na chui.Msitu mkubwa una wanyama wakali
Chui ni mnyama hatariWakali wa mbuga ni simba na chui.
Hatari sana hasa akiwa na njaa.Chui ni mnyama hatari
Njaa isikie kwa mwenzio, usiombe ikukute.Hatari sana hasa akiwa na njaa.
Njaa mbaya, tuiepuke kwa kuweka bidii kwenye kaziNjaa isikie kwa mwenzio, usiombe ikukute.
Ndio maana wanasema adui yako muombee njaa
Kazi isikufanye ukauza utu wakoNjaa mbaya, tuiepuke kwa kuweka bidii kwenye kazi
Utu wako uulinde Kwa kufanya kaziKazi isikufanye ukauza utu wako
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywaniUtu wako uulinde Kwa kufanya kazi
Nalog off
Kinywani mwako utamke maneno yenye hekimaKazi ni kazi mradi mkono uende kinywani
Hekima ikikaa kwako basi utajiri utafurika pia.Kinywani mwako utamke maneno yenye hekima
Pia utapata baraka ndani ya jamiiHekima ikikaa kwako basi utajiri utafurika pia.
Jamii ya wabantu inapenda sana kujamiianaPia utapata baraka ndani ya jamii
Kujamiiana ni tendo zuri Kwa afya na kuijaza dunia. Haijalishi unapitia kipindi gani usiache kujamiiana.Jamii ya wabantu inapenda sana kujamiiana
Kujamiiana holela ni hatari kwa afyaKujamiiana ni tendo zuri Kwa afya na kuijaza dunia. Haijalishi unapitia kipindi gani usiache kujamiiana.
Nalog off
Kujamiiana ni tendo zuri Kwa afya na kuijaza dunia. Haijalishi unapitia kipindi gani usiache kujamiiana.
Nalog off
Afya kwanza, umeniwahi. Mawazo yangu yalikuwa kama yakoKujamiiana holela ni hatari kwa afya
Yako mawazo ni mazuriKujamiiana kizembe zembe kunalaeta madhara
Afya kwanza, umeniwahi. Mawazo yangu yalikuwa kama yako
Mazuri kwasababu ni mawazo chanya na yenye kujengaYako mawazo ni mazuri
Kujenga nyumba ndio habari mpya mjiniMazuri kwasababu ni mawazo chanya na yenye kujenga
Mjini kwa sasa hakufai, kila mtu anakimbilia huko. Bora sisi wazee wa maporini tuendelee na maisha yetu ya kujificha maporini, yaani kutoka pori moja kwenda pori jingine.Kujenga nyumba ndio habari mpya mjini