Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Mimi natamani kumiliki dronesMwangu mimi
Mimi natamani kumiliki dronesMwangu mimi
Maendeleo bora huanzia kwakoSiasa tu ni adui wa maendeleo
Drones! ndio bei gani?Mimi natamani kumiliki drones
Kwako kuna jumba la kifahariMaendeleo bora huanzia kwako
Bei gani haijulikani sema ni gharamaDrones! ndio bei gani?
Kifahari machoni pa watuKwako kuna jumba la kifahari
Watu wenyewe wamejawa na wivuKifahari machoni pa watu
Gharama ndio inatakiwa itoleweBei gani haijulikani sema ni gharama
Itolewe bila malalamiko na bila kuchelewaGharama ndio inatakiwa itolewe
wivu ni chachu ya maendeleoWatu wenyewe wamejawa na wivu
Bila kuchelewa utanijulishaItolewe bila malalamiko na bila kuchelewa
Nitakujulisha nikifika ili unipokeeBila kuchelewa utanijulisha
Maendelea ya watu na vitu huenda sambambawivu ni chachu ya maendeleo
Unipokee mtondogooNitakujulisha nikifika ili unipokee
Sambamba na pesaMaendelea ya watu na vitu huenda sambamba
Pesa ni sabuni ya rohoSambamba na pesa
Mtondogoo ndio keshokutwaUnipokee mtondogoo
Keshokutwa!? ndioMtondogoo ndio keshokutwa
Roho ni ya thamani zaidiPesa ni sabuni ya roho
Ndio maana nikasema umpigie simuKeshokutwa!? ndio