El west
Member
- Dec 28, 2018
- 35
- 115
Bure kukaa ni heri kutembea ovyoChozi la mnyonge halidondoki bure
Bure kukaa ni heri kutembea ovyoChozi la mnyonge halidondoki bure
Ovyo ovyo mambo yake lakini huponea pazuri !!Bure kukaa ni heri kutembea ovyo
Pazuri ni mbinguni, na mimi ni mshindiOvyo ovyo mambo yake lakini huponea pazuri !!
Mshindi umebobea mapungufu kibao ..Pazuri ni mbinguni, na mimi ni mshindi
Kibao kata kipo mtaani kwetuMshindi umebobea mapungufu kibao ..
Mtaani kwetu,hivi huu wimbo aliimba nani?Kibao kata kipo mtaani kwetu
Mtaani kwetu,hivi huu wimbo aliimba nani?
Nani katunga sio hoja,nataka kujua aliyeimba ili ni search gugo.Nani kaimba me nilijua unauliza nani katunga
Nani katunga sio hoja,nataka kujua aliyeimba ili ni search gugo.
Nataka kulewA
Machungu ya maisha yangu nayajua mwenyewe.Kulewa kunakusahaurisha machungu ya maisha
Machungu ya maisha yangu nayajua mwenyewe.
Mwenyewe huwezi kujinyoa nyweleMachungu ya maisha yangu nayajua mwenyewe.
Wazi Huwezi? Basi Weka VyovyoteMwenyewe nayajua sema siweki wazi
"Basi weka vyovyote'' mmhh!Wazi Huwezi? Basi Weka Vyovyote
Mmh!! Unaguna au Unakubalii"Basi weka vyovyote'' mmhh!
Unakubali kilaini kama demMmh!! Unaguna au Unakubalii
Dem akikupa 0713 Utachukua?Unakubali kilaini kama dem
Dem akikupa 0713 Utachukua?