loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,144
.
usoni ndio kwa lugha nyingine reception ya mtu
usoni ndio kwa lugha nyingine reception ya mtu
Mtu Kama Mimi Nacheza Rhumba.
usoni ndio kwa lugha nyingine reception ya mtu
Rhumba za sasa hazifanani na za kaleMtu Kama Mimi Nacheza Rhumba
Kale Ka Manzi Kana MimbaRhumba za sasa hazifanani na za kale
Mimba yake chanzo chake ni viepe na kukuKale Ka Manzi Kana Mimba
Kuku saidia naweza Sema Huna ShukuraniMimba yake chanzo chake ni viepe na kuku
Shukurani ya punda ni matekeKuku saidia naweza Sema Huna Shukurani
Mateke na matokeShukurani ya punda ni mateke
Matoke.o Ya Vijana Wetu Wa 6 KaribiaMateke na matoke
matoke ni ndizi za kupika huku kwetu bukobaMateke na matoke
Bukoba, kuzuri sanamatoke ni ndizi za kupika huku kwetu bukoba
Kuzuri sana,hasa hapa mjini.Bukoba, kuzuri sana
Mjini ambapo hakuna hata mataa hakuwezi kua kuzuriKuzuri sana,hasa hapa mjini.
Kuzuri kunahitaji kuboreshweMjini ambapo hakuna hata mataa hakuwezi kua kuzuri
Kuboreshwe hapo kariakoo soko kuu ili tuepuke adha !!Kuzuri kunahitaji kuboreshwe
Adha Hii hii Tunayopata au NyingineKuboreshwe hapo kariakoo soko kuu ili tuepuke adha !!
Nyingine ipo njiani yaja bila kipingamizi.Adha Hii hii Tunayopata au Nyingine
Kipingamizi cha nini kwenye kuboresha maisha ya watanzania!Nyingine ipo njiani yaja bila kipingamizi.
watanzania wenyewe wanaboa mkiambiwa muandamane kudai mabadiliko mnasubiri mpk Mange kimambi asemeKipingamizi cha nini kwenye kuboresha maisha ya watanzania!
Aseme kwanza huyo Kimambi, yuko wapi?watanzania wenyewe wanaboa mkiambiwa muandamane kudai mabadiliko mnasubiri mpk Mange kimambi aseme