life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Uhai wa Mamba ulianza Kama kenge..Kifo ni lazima kwa Kila kiumbe chenye uhai
Uhai wa Mamba ulianza Kama kenge..Kifo ni lazima kwa Kila kiumbe chenye uhai
Uhai wa Mamba ulianza Kama kenge..
Mbaya zaidi ya yote ni kunisimangaKenge ni kiumbe mwenye ngozi mbaya
Kunisimanga sababu ya chakula ni dalili za uchoyoMbaya zaidi ya yote ni kunisimanga
Uchoyo uko wa namna nyingi, mbaya zaidi uchoyo wa mawazoKunisimanga sababu ya chakula ni dalili za uchoyo
Mwanzo mzuri hujenga Imani ya kujiamini...Uchoyo uko wa namna nyingi, mbaya zaidi uchoyo wa mawazo
Mwanzo mzuri hujenga Imani ya kujiamini...
Kishujaa tutashinda mechi za AFCON bila kubebwaKujiamini ni maumbile ya kishujaa
Kubebwa sio kuzuri kwasababu ukizoea utashindwa kufanya kitu kwa kutumia juhudi binafsiKishujaa tutashinda mechi za AFCON bila kubebwa
Binafsi mie Sina dharau wala kejeri kwa minajili..Kubebwa sio kuzuri kwasababu ukizoea utashindwa kufanya kitu kwa kutumia juhudi binafsi
Kwa minajili ya kufurahia siku yetu ya wababa tuchange buku 10 kila mbabaBinafsi mie Sina dharau wala kejeri kwa minajili..
Kwa minajili ya kufurahia siku yetu ya wababa tuchange buku 10 kila mbaba
Mbabe NimefikaMbaba au mbabe
Mbabe Nimefika
Kishindo cha sisimizi Hakimtishi TemboNimefika mwisho kwa kishindo
Tembo wa Afrika ndio wakubwa kuliko wote dunianiKishindo cha sisimizi Hakimtishi Tembo
Duniani Hakufai Ndomaana Ukizaliwa tu UnaliaTembo wa Afrika ndio wakubwa kuliko wote duniani
Unalia ili kuonyesha u-mzimaDuniani Hakufai Ndomaana Ukizaliwa tu Unalia
Mzima Sio Mpaka kumwaga choziUnalia ili kuonyesha u-mzima
Mzima Sio Mpaka kumwaga chozi