life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Zingine huwapokea na zingine huwatosa na zingine hubagua..Wakimbizi ni watu ambao wamekimbia nchi zao na kuhamia nchi zingine
Zingine huwapokea na zingine huwatosa na zingine hubagua..Wakimbizi ni watu ambao wamekimbia nchi zao na kuhamia nchi zingine
Hubagua kwa ubaguzi wao tu wangejua shida wazipatazo wasingewabaguaZingine huwapokea na zingine huwatosa na zingine hubagua..
Wadingewabagua wale wachezaji wa kigeniHubagua kwa ubaguzi wao tu wangejua shida wazipatazo wasingewabagua
Kigeni ni moja ya vitu ambavyo hujitokeza mara chacheWadingewabagua wale wachezaji wa kigeni
Chache chenye baraka na kudumu kuliko kingi feki !!Kigeni ni moja ya vitu ambavyo hujitokeza mara chache
Feki ni bidhaa ambazo zinapatikana kwa wingi ktk nchi ya TzChache chenye baraka na kudumu kuliko kingi feki !!
TZ tuilinde,tuienzi na tuihami kufa na kupona....Feki ni bidhaa ambazo zinapatikana kwa wingi ktk nchi ya Tz
Kupona kutokana na ugonjwa wa kisukari kwa nini haiwezekaniTZ tuilinde,tuienzi na tuihami kufa na kupona....
Kweli ni zaidi ya tusi ila kwanza vumiliaHaiwezekani Fragaria a reply kwa lugha ambayo sielewi, ati wana jamvi WTF sio tusi kweli?
Vumilia maisha ndivyo yalivyoKweli ni zaidi ya tusi ila kwanza vumilia
Yalivyo hasa kwa life la TzVumilia maisha ndivyo yalivyo
TZ...jamani ni raha na Amani almarufu kiswa Cha Peace !!Yalivyo hasa kwa life la Tz
Peace and love ndo zawadi tuliyobarikiwa watu mafukara tunaoishi TanzaniaTZ...jamani ni raha na Amani almarufu kiswa Cha Peace !!
Sana tena nashindwa hata kuelezea ninavyokupenda MwajumaTanzania nchi yangu Tanzania nakupenda sana
Mwajuma ndala ndefuSana tena nashindwa hata kuelezea ninavyokupenda Mwajuma
Ndefu hiyo vipiMwajuma ndala ndefu

Vipi kwani huijui?Ndefu hiyo vipi![]()
Huijui thamani aliyonayo Mwajuma kwangu ndo maana unaongea bila mpangilioVipi kwani huijui?